Sunday 23 February 2025 - 11:19
Umoja wa Ummah; Ni siri ya ushindi dhidi ya njama za kimataifa

Hojjat al-Islam wal-Muslimeen Syed Sajid Ali Naqvi katika kikao na shakhsia mashuhuri wa kidini wa Iraq na Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kuweko Umoja wa Umma wa Kiislamu ili kutatua suala la Palestina na kukabiliana na (njama na) mashinikizo ya kimataifa.

Kwa mujibu wa kundi la Tarjama la Shirika la Habari la Hawza, Hojjat-ul-Islam wal-Muslimin Syed Sajid Ali Naqvi, Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Pakistan, katika kikao na shakhsia mashuhuri wa kidini wa Iraq na Iran, amesisitiza juu ya ulazima wa uwepo wa Umoja wa Umma wa Kiislamu ili kutatua suala la Palestina na kukabiliana na (njama na) mashinikizo ya kimataifa.

Alisema bila ya Umoja, Umma wa Kiislamu hautabakia tu chini ya shinikizo la wageni (watu wa nje ya Uislamu), bali njia ya maendeleo pia itafungwa kwa Waislamu.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha